manuscript-editing-workshop
Je wewe ni mwandishi wa kubuni? Je unataka kujifunza kuhariri mswada wako ili uwe na ushidani katika uchapishaji? Je unaweza kuandika katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili? Basi usiwe na tumbojoto kwani Shirika la Storymoja linaandaa WARSHA YA UHARIRI WA MISWADA itakayofanyika Jumamosi tarehe 1 Oktoba kutoka saa mbili asubuhi katika afisi zao, mtaa wa Westands. Kujisajili tuma shilingi 500 tu kwa TILL NUMBER 779741 au MPESA kwa 0728010459.
Hifadhi ujumbe wako. Warsha hiyo itafanywa katika lugha zote mbili yaani kiingereza na Kiswahili. Shirika la Storymoja liko Westands, barabara ya Shanzu. Panda matatu nambari 119 steji ya Koja Mosque. teremka steji ya TOTAL na Barabara ya Shanzu, Lango la Pili lililo na rangi ya waridi (pink) ni Shirika la Storymoja.
Kwa maelezo zaidi kuhusu hii warsha, wasiliana na Rebecca Nandwa 0725930221, Fred Obondo 0727163459 au mimi kwa nambari 0728010459. Usikose fursa hii nadra!