Warsha ya Uhariri wa Miswada

Warsha ya Uhariri wa Miswada

Je wewe ni mwandishi wa kubuni? Je unataka kujifunza kuhariri mswada wako ili uwe na ushidani katika uchapishaji? Je unaweza kuandika katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili? Basi usiwe na tumbojoto kwani Shirika la Storymoja linaandaa WARSHA YA UHARIRI WA MISWADA...