Hadith Fupi

Vazi la Mhudumu

Vazi la Mhudumu na Hadithi Nyingine kutoka Afrika Mashariki  ambayo imehaririwa na P.I. Iribemwangi na Hamisi Babusa ni diwani ya hadithi fupi iliyochapishwa na EAEP mwaka 2016. Ni diwani inayojumuisha hadithi za kuvutia zilizoandikwa na waandishi kutoka Kenya,...

Sina Zaidi Na Hadithi Nyingine

Sina Zaidi Na Hadithi Nyingine (Wahariri) P.I. Iribe Mwangi na Ken Walibora Hii ni diwani ya Hadithi Fupi Ambayo Imechapshwa na Target Publishers mwaka wa 2011. Hamisi Babusa amechangia hadithi moja (Shajara ya Mheshimiwa) katika Diwani hii. Shajara ya Mheshimiwa...

Gitaa na Hadithi Nyingine (Mhariri) Timothy Arege

Gitaa na Hadithi Nyingine ni Diwani ya hadithi Fupi iliyochapishwa na Longhorn Publishers mwaka wa 2011. Hamisi Babusa alichangia hadithi Mbili za kusisimua katika huu mkusanyiko. Alichangia Jana si Leo na Maendeleo.Jana si leo inahusu kijana Musa ambaye alikuwa na...

Kunani Marekani? Na Hadithi nyingine (Mhariri) P.I. Iribe Mwangi

Hii ni Diwani ya hadithi ambayo imechapishwa na Target Publishers mwaka 2011. Hamisi Babusa alichangia Hadithi moja inayoitwa Mtego wa Panya. Mtego wa Panya ni Hadithi kuhusu kijakazi wa nyumbani aliyeambukiza familia nzima virusi vya HIV. Kwa maelezo zaidi tafuta...

Maskini Milionea na Hadithi Nyingine (Mhariri) Ken Walibora

Hii ni Diwani ya Hadithi Fupi Ambayo Imechapishwa na Oxford University Press mwaka 2012. Hamisi Babusa alichangia Hadithi moja ambayo pia ndiyo Anuani ya Kitabu. Masikini Milionea ni hadithi inayuhusu Kijana ambaye baada ya kuhafili chuoni alitafuta kazi bila...