Machapisho ya Kitaaluma
Machapisho ya Kitaluuma ambayo yamefanywa na Dkt. BabusaMwongozo wa Utengano Said A. Mohamed
Hamisi Babusa na Hassan mwana wa Ali waliandika mwongozo huu wa Riwaya ya Utengano iliyoandikwa na Said A. Mohamed. Mwongozo ulijumuisha vipengele vyote vya uchambuzi kama vile; Ufaafu wa Anuani, Muhtasari wa Sura, Dhamira na Maudhui, Wahusika, Mbinu za...
A Unified Orthography for Bantu Languages in Kenya
A Unified Orthography For Bantu Languages of Kenya (Kipokomo, Mijikenda, Kikuria, Gikuyu, Luhya, Dawida, Ekegusii, Kiikamba, Kiembu, Kimeru, Kiswahili) Hiki ni kitabu cha Isimu cha kiingereza Ambacho Hamisi Babusa alishirikiana na Wanaisimu Wengine Kukiandika....
Kamusi ya Kiingereza – Kiswahili ya Istilahi za Hali ya Hewa
Hii ni Kamusi ya kwanza ya namna yake. Iliandikwa baada ya utafiti uliodhaminiwa na Uingereza. Ilichapishwa na Gallababu Media na Hakimiliki ni ya NDMA. Hamisi Babusa alikuwa Mwandishi mkuu akisaidiwa na Martha M. Mutua na Ali Hassan Kauleni. Kamusi hii Ilichapishwa...
Kamusi Teule ya Kiswahili-Kilele cha Lugha
Hamisi Babusa aliitunga hii kamusi pamoja na Ahmed Ndalu and Suleiman Mirikau. Kamusi hii ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofia wenye tajriba kubwa.Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu kwa kuzingatia msomaji lengwa ambaye ni...
Kamusi ya Vitate na Matamshi Sahihi ya kiswahili Kiswahili
Hamisi Babusa aliitunga Kamusi Hii akitumia mifano ya sentensi na Kutumia Vitate kwa minajili ya kurekebisha makosa ya kimatamshi yanayotokana na athari ya lugha za mama kwa wote wanaojifunza kiswahili. Kamusi hii ilichapishwa na JKF, Nairobi, Kenya mwaka wa...
Mwongozo wa Mstahiki Meya (Timothy Arege)
Hamisi Babusa alishirikiana na waandishi wengine na kuandika Mwongozo wa Tamthilia ya Mstahiki Meya iliyoandikwa na Timothy Arege. Mwongozo huu umejumuisha Muhtasari wa maonyesho, Maudhui na dhamira, Mbinu za Sanaa, Wahusika na Maswali ya Mazoezi. Kitabu hiki...
A Dictionary of English and Swahili Equivalent Proverbs
Hii ni kamusi ye Methali za kiingereza na Kiswahili zenye maana sawa. Kingereza na Kiswahili kwa sasa ni lugha za Kimataifa ambazo huzungumzwa na watu wengi ulimwenguni kote. Mtu anapojifunza lugha bila ya kujua utamaduni wake basi huwa na matatizo katika mawasiliano...
Kamusi ya Wasifu wa Waafrika
Kamusi hii ambayo imehaririwa na Emmanuel K. Akyeampong and Henry Louis Gates, Jr inahusu wasifu na maisha ya waafrika waliathiri historia ya bara la afrika. Imeangazia bara zima la afrika kuhusu wanafalsafa,wanasiasa, watumbuizaji, washairi, wanasayansi, viongozi wa...
Mwongozo wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine Ken Walibora na Said A. Mohamed
Hamisi Babusa pia alishirikiana na waandishi wengine na akaandika mwongozo wa Diwani ya Hadithi Fupi Damu Nyeusi na hadithi Nyingine Iliyohaririwa na Ken Walibora na Said A. Mohamed. Mwongozo huu Umejumuisha Vipengele kama vile Dhamira na Maudhui, Mbinu za Lugha,...
Kamusi Timilifu ya Kiswahili Kiingereza (Comprehensive Swahili-English Dictionary) Na M. A. Mohamed
Comprehensive Swahili-English Dictionary ni kamusi ya kisasa ya kipekee ambayo inaonyesha matumizi ya kisasa ya lugha ya Kiswahili. Kamusi hii ina vidahizo 60,000 na pia ni kama mwongozo wa kitamaduni wa Kiswahili na pia inalinganua tamaduni za lugha mbili zenye...
Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi na Ahmed Ndalu
Kamusi hii imelenga wanafunzi wa shule za msingi. Imeandikwa baada ya utafiti wa kina wa miaka mingi uliofanywa na mwandishi na kupitiwa na wanaleksikografia kutoka Afrika Mashariki kama vile Hamisi Babusa. Hamisi Babusa Alikuwa Mwanaleksikografia wa hii Kamusi....