Hii ni Diwani ya Hadithi Fupi Ambayo Imechapishwa na Oxford University Press mwaka 2012. Hamisi Babusa alichangia Hadithi moja ambayo pia ndiyo Anuani ya Kitabu.

Masikini Milionea ni hadithi inayuhusu Kijana ambaye baada ya kuhafili chuoni alitafuta kazi bila mafanikio na baadaye akajiunga na kikundi cha kuabudu shetani, kitendo ambacho kilimletea majanga makuu.

maskini-milionea-na-hadith-nyingine