Kijiji cha Ukame ni novela ya kiwango cha darasa la sita. Imechapishwa na shirika la Storymoja mwaka 2017. Ni ya kwanza katika msururu wa novela kuhusu mhusika BINTI KITABU ambaye ni msichana anayetumia nguvu za kiajabu za vitabu kusuluhisha matatizo ya jamii. Katika hii novela Binti Kitabu alitaka kusuluhisha matatizo ya Kijiji cha Ukame kilichiathirika kutokana na uharibifu wa mazingira. je aliweza?
 
Kijiji cha ukame