Kamusi hii imelenga wanafunzi wa shule za msingi. Imeandikwa baada ya utafiti wa kina wa miaka mingi uliofanywa na mwandishi na kupitiwa na wanaleksikografia kutoka Afrika Mashariki kama vile Hamisi Babusa. Hamisi Babusa Alikuwa Mwanaleksikografia wa hii Kamusi. imechapishwa na EAEP, Kenya, 2011