Hamisi Babusa alishirikiana na waandishi wengine na kuandika Mwongozo wa Tamthilia ya Mstahiki Meya iliyoandikwa na Timothy Arege. Mwongozo huu umejumuisha Muhtasari wa maonyesho, Maudhui na dhamira, Mbinu za Sanaa, Wahusika na Maswali ya Mazoezi. Kitabu hiki kilichapishwa mwaka 2012 na SwahiliHUB, Kenya.

mwongozo-wa-mstahimiki-meya