Mashairi

Waja Leo Diwani ya Mashairi (Mhariri) Ken Walibora

  Hii ni Diwani ya Mashairi iliyochapishwa na Oxford University Press mwaka 2012. Hamisi Babusa alichangia mashairi manne kwenye Diwani hii ambayo ni Hapo Hapo Pa Mawimbi Ninalipa Uzeeni, Mngojee Chini, Mla kwa Miwili na Afadhali Dooteni. Yote ni mashairi yenye ujumbe...

Miali ya Ushairi

Hii ni Diwani nyingine ya Mashairi ambayo imechapishwa na EAEP mwaka 2015. Hamisi Babusa amechangia mashairi sita katika Hii Diwani. Mashairi yenyewe ni: Ukijigeuza Chano, Watu Watakufulia, Soma Somato Msoma, Mvumilivu, Kaida Fundi Mbaya, Jogoo la Shamba Haliwiki...

Sauti Ya Shangwe

Hii ni Diwani ya Mashairi ambayo imehaririwa na Hamisi babusa. Washairi waliochangia mashairi Katik Hii Diwani ni Alamin Somo, Ahmed Hussein na Sheikh Nabhany. Diwani Hii ilichapishwa mwaka 2011.  Mhariri Hamisi...

Mazingira

Hamisi Babusa alitunga Utenzi huu Unaohusu Madhara ya Kuharibu mazingira Na jinsi ya Kuyahifadhi. Aliandika Utenzi huu alipokuwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo kikuu cha Kenyatta. Utenzi Huu ulioandikwa kwa Lugha sahili, umechapishwa mwaka 1995 na Phoenix...