Kamusi

Kamusi ya Kiingereza – Kiswahili ya Istilahi za Hali ya Hewa

Hii ni Kamusi ya kwanza ya namna yake. Iliandikwa baada ya utafiti uliodhaminiwa na Uingereza. Ilichapishwa na Gallababu Media na Hakimiliki ni ya NDMA. Hamisi Babusa alikuwa Mwandishi mkuu akisaidiwa na Martha M. Mutua na Ali Hassan Kauleni. Kamusi hii Ilichapishwa...

Kamusi Teule ya Kiswahili-Kilele cha Lugha

Hamisi Babusa aliitunga hii kamusi pamoja na Ahmed Ndalu and Suleiman Mirikau. Kamusi hii ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofia wenye tajriba kubwa.Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu kwa kuzingatia msomaji lengwa ambaye ni...

Kamusi ya Vitate na Matamshi Sahihi ya kiswahili Kiswahili

Hamisi Babusa aliitunga Kamusi Hii akitumia mifano ya sentensi na Kutumia Vitate kwa minajili ya kurekebisha makosa ya kimatamshi yanayotokana na athari ya lugha za mama kwa wote wanaojifunza kiswahili. Kamusi hii ilichapishwa na JKF, Nairobi, Kenya mwaka wa...

A Dictionary of English and Swahili Equivalent Proverbs

Hii ni kamusi ye Methali za kiingereza na Kiswahili zenye maana sawa. Kingereza na Kiswahili kwa sasa ni lugha za Kimataifa ambazo huzungumzwa na watu wengi ulimwenguni kote. Mtu anapojifunza lugha bila ya kujua utamaduni wake basi huwa na matatizo katika mawasiliano...

Kamusi ya Wasifu wa Waafrika

Kamusi hii ambayo imehaririwa na Emmanuel K. Akyeampong and Henry Louis Gates, Jr inahusu wasifu na maisha ya waafrika waliathiri historia ya bara la afrika. Imeangazia bara zima la afrika kuhusu wanafalsafa,wanasiasa, watumbuizaji, washairi, wanasayansi, viongozi wa...

Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi na Ahmed Ndalu

Kamusi hii imelenga wanafunzi wa shule za msingi. Imeandikwa baada ya utafiti wa kina wa miaka mingi uliofanywa na mwandishi na kupitiwa na wanaleksikografia kutoka Afrika Mashariki kama vile Hamisi Babusa. Hamisi Babusa Alikuwa Mwanaleksikografia wa hii Kamusi....